• HABARI MPYA

    Saturday, October 10, 2020

    AZAM FC YAITANDIKA MAFUNZO YA ZANZIBAR MABAO 3-1 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO CHAMAZI


    Wachezaji wa Azam FC wakipongezana baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Mafunzo FC ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Azam FC yamefungwa na Mzambia, Obrey Chirwa dakika ya 44, Mzanzibari Khelffin Hamdoun dakika ya 77 na Mzimbabwe Never Tigere dakika ya 89, wakati la Mafunzo limefungwa na Rashid Abdallah dakika ya 36 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YAITANDIKA MAFUNZO YA ZANZIBAR MABAO 3-1 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top