• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 27, 2020

  IBRAHIMOVIC APIGA MBILI MILAN YALAZIMISHWA SARE NA ROMA 3-3


  MKONGWE  Zlatan Ibrahimovic jana amefunga mabao mawili dakika ya pili na 79 kwa penalti, AC Milan ikilazimishwa sare ya 3-3 na AS Roma katika mchezo wa Serie A Uwanja wa Giuseppe Meazza.  
  Bao lingine la Milan lilifungwa na Alexis Saelemaekers dakika ya 47, wakati ya Roma yamefungwa na Edin Dzeko dakika ya 14, Jordan Veretout kwa penalti dakika ya 71 na Marash Kumbulla dakika ya 84 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC APIGA MBILI MILAN YALAZIMISHWA SARE NA ROMA 3-3 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top