SAMATTA APIGA ZOTE MBILI FENERBAHÇE YAICHAPA FATIH KARAGUMRUK 2-1 LIGI KUU YA UTURUKI LEO
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akishangilia baada ya kufunga mabao ya timu yake, Fenerbahçe katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Fatih Karagumruk kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki leo
0 comments:
Post a Comment