• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 21, 2020

  MORATA APIGA ZOTE MBILI JUVE YAILAZA DYNAMO KYIV 2-0


  Alvaro Morata akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Juventus mabao yote dakika ya 46 na 84 ikiwalaza wenyeji, FC Dynamo Kyiv 2-0 katika mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa NSK Olimpiki Jijini Kiev, Ukraine
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MORATA APIGA ZOTE MBILI JUVE YAILAZA DYNAMO KYIV 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top