• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 10, 2020

  FIRMINO APIGA MBILI BRAZIL YAIPIGA BOLIVIA 5-0 KOMBE LA DUNIA


  Wachezaji wa Brazil wakimpongeza Roberto Firmino baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 30 na 49 katika ushindi wa 5-0 wa Brazil dhidi ya Bolivia 5-0 kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kwa Amerika ya Kusini Alfajiri ya leo Uwanja wa Neo Quimica Arena Jijini Sao Paulo
  . Mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Marquinhos dakika ya 16, Jose Carrasco aliyejifunga dakika ya 66 na Philippe Coutinho dakika ya 73 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIRMINO APIGA MBILI BRAZIL YAIPIGA BOLIVIA 5-0 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top