• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 18, 2020

  MESSI HOI BARCELONA YACHAPWA 1-0 NA GETAFE UGENINI LA LIGA


  Nahodha Lionel Messi akiondoka kinyonge Uwanja wa Coliseum Alfonso Pérez baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Getafe bao pekee la Jaime Mata kwa penalti dakika ya 56 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI HOI BARCELONA YACHAPWA 1-0 NA GETAFE UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top