• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 09, 2020

  DANNY INGS APIGA BONGE LA BAO ENGLAND YAICHAPA WALES 3-0


  Danny Ings akibinuka tik tak kuifungia England bao la tatu dakika ya 63 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Wales kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Wembley, London baada ya Dominic Calvert-Lewin kufunga la kwanza dakika ya 26 na Conor Coady la pili dakika ya 53
   PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DANNY INGS APIGA BONGE LA BAO ENGLAND YAICHAPA WALES 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top