• HABARI MPYA

  Thursday, October 22, 2020

  LIVERPOOL YAWACHAPA AJAX 1-0 AMSTERDAM BAO LA KUJIFUNGA WENYEWE


  Wachezaji wa Liverpool (kulia) wakishangilia baada ya Nicolas Tagliafico kujifunga dakika ya 35 kuwapa ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAWACHAPA AJAX 1-0 AMSTERDAM BAO LA KUJIFUNGA WENYEWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top