• HABARI MPYA

  Friday, October 16, 2020

  MAPOKEZI YA KOCHA MPYA WA KLABU YA YANGA, MRUNDI KAZE CEDRIC JANA UWANJA WA NDEGE WA JNIA

   

  Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, wadhamini wa klabu hiyo akiwa na kocha mpya wa klabu hiyo, Mrundi Cedric Kaze baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana 

  Kocha mpya wa Yanga SC, Mrundi Cedric Kaze baada ya kuwasili JNIA, Dar es Salaam jana 
  Mashabiki wa Yanga waliojitokeza kumlaki kocha mpya, Mrundi Cedric Kaze

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAPOKEZI YA KOCHA MPYA WA KLABU YA YANGA, MRUNDI KAZE CEDRIC JANA UWANJA WA NDEGE WA JNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top