• HABARI MPYA

  Monday, October 26, 2020

  VARDY APIGA BAO PEKEE LEICESTER YAILAZA ARSENAL 1-0 EMIRATES


  Mshambuliaji Jamie Vardy akishangilia baada ya kuifungia Leicester City bao pekee dakika ya 80 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VARDY APIGA BAO PEKEE LEICESTER YAILAZA ARSENAL 1-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top