• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 29, 2020

  NEYMAR AUMIA, PSG YASHINDA 2-0 UTURUKI LIGI YA MABINGWA


  Mshambuliaji Neymar akitoka nje dakika ya 27 baada ya kuumia kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain ikishinda 2-0 dhidi ya wenyeji, Istanbul Basaksehir, mabao ya Moise Kean dakika ya 64 na 79 Uwanja wa Başakşehir Fatih Terim jijini İstanbul
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR AUMIA, PSG YASHINDA 2-0 UTURUKI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top