• HABARI MPYA

  Wednesday, October 21, 2020

  MESSI AFUNGA LA KWANZA BARCELONA YASHINDA 5-1 CAMP NOU


  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 27 kwa penalti katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Ferencvaros kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yalifungwa na Ansu Fati dakika ya 42, Philippe Coutinho dakika ya 52, Pedri dakika ya 82 na Ousmane Dembele dakika ya 89, wakati la Ferencvaros lilifungwa na Ihor Kharatin kwa penalti dakika ya 70
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA LA KWANZA BARCELONA YASHINDA 5-1 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top