• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 17, 2020

  REAL MADRID WAPIGWA NYUMBANI 1-0 NA WALIOPANDA MSIMU HUU


  Anthony Lozano (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Cadiz bao pekee dakika ya 16 ikiwalaza wenyeji, Real Madrid 1-0 katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid. Cadiz imerejea La Liga msimu huu baada ya miaka 14
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID WAPIGWA NYUMBANI 1-0 NA WALIOPANDA MSIMU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top