• HABARI MPYA

  Thursday, October 22, 2020

  COMAN APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA ATLETICO 4-0


  Kingsley Coman akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 28 na 72 katika ushindi wa 4-0 wa Bayern Munich dhidi ya Atletico Madrid, mabao mengine yakifungwa na Leon Goretzka dakika ya 41 na Corentin Tolisso dakika ya 66 kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich, Ujerumani 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COMAN APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA ATLETICO 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top