• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 06, 2020

  KAPTENI WA TAIFA STARS MBWANA ALLY SAMATTA WA FENERBAHCE YA UTURUKI AWASILI DAR KUWABAA BURUNDI


  NAHODHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kutoka Uturuki anakochezea klabu ya Fenerbahce kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Burundi Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAPTENI WA TAIFA STARS MBWANA ALLY SAMATTA WA FENERBAHCE YA UTURUKI AWASILI DAR KUWABAA BURUNDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top