• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 12, 2020

  ALIYEIFUNGIA BAO PEKEE BURUNDI IKIILAZA STARS 1-0 JANA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA YANGA SC LEO


  Kiungo wa kimataifa wa Burundi, Said Ntibazonkiza akiwa ameshika jezi ya Yanga SC baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na vigogo hao wa Tanzania leo Jijini Dar es Salaam akitokea FK Kaisar Kyzylorda ya Kazakhstan.
  Ntibazonkiza ndiye aliyeifungia Burundi bao pekee jana ikiilaza Tanzania 1-0 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ALIYEIFUNGIA BAO PEKEE BURUNDI IKIILAZA STARS 1-0 JANA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA YANGA SC LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top