• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 07, 2020

  KIKOSI CHA BURUNDI KILIVYOWASILI LEO DAR ES SALAAM KWA AJILI YA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TAIFA STARS


  Wachezaji wa timu ya taifa ya Burundi wakitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam baada ya kuwasili kutoka kwao, Bujumbura kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini kuanzia Saa 10:00 jioni  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA BURUNDI KILIVYOWASILI LEO DAR ES SALAAM KWA AJILI YA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top