• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 16, 2020

  SAMATTA MAZOEZINI FENERBAHCE IKIJIANDAA KUWAFUATA GOZTEPE MJINI IZMIR MECHI YA LIGI KUU YA UTURUKI


  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa mazozini na klabu yake, Fenerbahçe Jijini Istanbul kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki dhidi ya wenyeji, Goztepe Jumapili kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Goztepe Gursel Aksel Jijini İzmir 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA MAZOEZINI FENERBAHCE IKIJIANDAA KUWAFUATA GOZTEPE MJINI IZMIR MECHI YA LIGI KUU YA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top