• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 12, 2020

  PRINCE DUBE AFUNGA MABAO MAWILI AZAM FC YAICHARAZA FOUNTAIN GATE 4-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


  Beki Mghana, Daniel Amoah (kulia) akimpongeza mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 44 kwa penalti na 45 katika ushindi wa 4-0 wa Azam FC dhidi ya Fountain Gate, mabao mengine yakifungwa na kiungo Mudathir Yahya dakika ya 25 na Isamil Aziz Kada dakika ya 50 kwenye mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo yaJiji laDar es Salaam. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PRINCE DUBE AFUNGA MABAO MAWILI AZAM FC YAICHARAZA FOUNTAIN GATE 4-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top