• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 11, 2020

  OYARZABAL AIFUNGIA BAO PEKEE HISPANIA YAILAZA USWISI 1-0 MADRID


  Mikel Oyarzabal (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao pekee dakika ya 14 ikiichapa Uswisi 1-0 katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OYARZABAL AIFUNGIA BAO PEKEE HISPANIA YAILAZA USWISI 1-0 MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top