• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 02, 2020

  KIKOSI CHA TAIFA STARS CHA KUIVAA BURUNDI OKTOBA 11 CHATAJWA, SIMBA WAPO SABA YANGA SC WANNE TU

  KOCHA Mrundi, Ettienne Ndayiragijje ameita wachezaji 25 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Burundi Oktoba 11, Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  Mabingwa wa Tanzania kwa mwaka wa tatu mfululizo sasa, Simba wameendelea kuwa na mchango mzuri kwenye kikosi hicho, wakitoa wachezaji saba, wakati watani wao wa jadi, Yanga wana wachezaji wanne tu kwenye kikosi hicho. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA TAIFA STARS CHA KUIVAA BURUNDI OKTOBA 11 CHATAJWA, SIMBA WAPO SABA YANGA SC WANNE TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top