• HABARI MPYA

  Friday, October 30, 2020

  REFA SHOAMRI LAWI AFUNGIWA MWAKA MZIMA KWA KUBORONGA MECHI YA PRISONS NA SIMBA SUMBAWANGA


  REFA Shomary Lawi wa Kigoma amefungiwa mwaka mmoja kwa tuhuma za kushindwa kuumudu mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Tanzania Prisons na mabingwa watetezi, Simba SC.
  Mchezo huo ulifanyika wiki iliyopita na Tanzania Prisons wakaibuka na ushindi wa 1-0 Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga.  
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA SHOAMRI LAWI AFUNGIWA MWAKA MZIMA KWA KUBORONGA MECHI YA PRISONS NA SIMBA SUMBAWANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top