• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 16, 2020

  KOCHA MPYA, KAZE CEDRIC ALIVYOSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUFUNDISHA YANGA SC LEO JANGWANI


  Kocha Mrundi Cedric Kaze (kulia) akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha klabu ya Yanga leo makao makuu ya klabu, makutanoya Mitaa ya Twiga na Jangwani Jijini  Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk. Mshindo Msolla.

  Kaze anachukua nafasi ya Mserbia, Zlatko Krmpotic aliyedumu kwa mwezi mmoja tu kabla ya kufukuzwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA, KAZE CEDRIC ALIVYOSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUFUNDISHA YANGA SC LEO JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top