• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 18, 2020

  MAN UNITED WATOKA NYUMA NA KUICHAPA NEWCASTLE 4-1


  Aaron Wan-Bissaka akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 90 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa St. James' Park. Mabao mengine ya Manchester United yalifungwa na Harry Maguire dakika ya 23, Bruno Fernandes dakika ya 86 na Marcus Rashford dakika ya 90 na ushei wakati la Newcastle United alijifunga Luke Shaw dakika ya pili tu 

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED WATOKA NYUMA NA KUICHAPA NEWCASTLE 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top