• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 03, 2020

  CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE 4-0 STAMFORD BRIDGE


  TIMU ya Chelsea imezinduka na kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao ya Ben Chilwell dakika ya 50, Kurt Zouma dakika ya 66 na Jorge Luiz Frello Filho 'Jorginho' mawili, yote kwa penalti dakika ya 78 na 82 Uwanja wa Stamford Bridge, London
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE 4-0 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top