• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 29, 2020

  RASHFORD APIGA HAT TRICK MAN UNITED YAIPIGA LEIPZIG 5-0


  Mshambuliaji Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao matatu dakika za 74, 78 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 dhidi ya RB Leipzig kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yalifungwa na Mason Greenwood dakika ya na 21 Anthony Martial kwa penalti dakika ya 87
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASHFORD APIGA HAT TRICK MAN UNITED YAIPIGA LEIPZIG 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top