• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 28, 2020

  SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA


  Mohamed Salah (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili kwa penalti dakika ya 90 na ushei kufuatia Diogo Jota kufunga la kwanza dakika ya 55 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Midtjylland ya Denmark kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Anfield
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top