• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 24, 2020

  LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH YASHINDA 5-0


  Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia hat-trick Bayern Munich kwa mabao yake ya dakika za 10, 26 na 60 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Eintracht Frankfurt kwenye mchezo wa Bundesliga leo Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Mabao mengine ya Bayern Munich yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 72 na Jamal Musiala dakika ya 90
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH YASHINDA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top