• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 08, 2020

  EL-SHAARAWY AFUNGA MABAO MAWILI ITALIA YAICHAPA MOLDOVA 6-0


  Stephan El-Shaarawy akishangilia baada ya kuifungia Italia mabao mawili dakika ya 30 na 45 na ushei katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Moldova kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Artemio Franchi Jijini Florence. Mabao mengine ya Italia yalifungwa na Bryan Cristante dakika ya 18, Ciccio Caputo dakika ya 23, Veaceslav Posmac aliyejifunga dakika ya 37 na Domenico Berardi dakika ya 72
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: EL-SHAARAWY AFUNGA MABAO MAWILI ITALIA YAICHAPA MOLDOVA 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top