• HABARI MPYA

    Friday, October 02, 2020

    MAN UNITED YAPANGWA KUNDI LA KIFO LIGI YA MABINGWA ULAYA


    Manchester United imepangwa Kundi la Kifo katika Lig0 ya Mabingwa Ulaya
     


    CHAMPIONS LEAGUE GROUPS 2020-21 

    GROUP A

    Bayern Munich

    Atletico Madrid

    RB Salzburg

    Lokomotiv Moscow 

     

    GROUP B

    Real Madrid

    Shakhtar Donetsk

    Inter Milan

    Borussia Monchengladbach 

     

    GROUP C

    Porto

    Manchester City

    Olympiacos

    Marseille 

     

    GROUP D

    Liverpool

    Ajax

    Atalanta

    Midtjylland 

     

    GROUP E

    Sevilla

    Chelsea

    Krasnodar

    Rennes 

     

    GROUP F

    Zenit

    Borussia Dortmund

    Lazio

    Brugges 

     

    GROUP G

    Juventus

    Barcelona

    Dynamo Kyiv

    Ferencvaros 

     

    GROUP H

    Paris Saint Germain

    Manchester United

    RB Leizpig

    Istanbul Basaksehir 

    TIMU ya Manchester United ya England imepangwa katika kundi  gumu kwenye msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

    Kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kimewekwa Kundi H pamoja na wana fainali, Paris Saint-Germain ya Ufaransa, RB Leipzig ya Ujerumani na Istanbul Basaksehir ya Uturuki.

    Kundi A linazikutanisha bingwa mtetezi, Bayern Munich ya Ujerumani, Atletico Madrid ya Hispania, RB Salzburg ya Ujerumani na Lokomotiv Moscow ya Urusi.

    Kundi B kuna Real Madrid ya Hispania, Shakhtar Donetsk ya Uturuki, Inter Milan ya Italia na Borussia Monchengladbach ya Ujerumani.

    Kundi C; Porto ya Ureno, Manchester City ya England, Olympiacos ya Ugiriki na Marseille ya Ufaransa. 

    Kundi D kuna Liverpool ya England, Ajax ya Uholanzi, Atalanta ya Italia na Midtjylland ya Denmark.  

    Kundi E kuna Sevilla ya Hispania, Chelsea ya England, Krasnodar ya Urusi na Rennes ya Ufaransa.

    Kundi F zipo Zenit ya Urusi, Borussia Dortmund ya Ujerumani, Lazio ya Italia na Club Brugges ya Ubelgiji. 

    Kundi G zipo Juventus ya Italia Barcelona ya Hispania, Dynamo Kyiv ya Ukraine na Ferencvaros ya Hungary. 

    Kundi H ndio; Paris Saint Germain, Manchester United, RB Leizpig na Istanbul Basaksehir. 

    Fainali ya msimu huu itafanyika Mei 29, mwakani Uwanja wa Ataturk Jijini Istanbul, ambako Liverpool ilifanya maajabu ya kutosahaulika baada ya kutoka nyuma kwa 3-0 na kuifunga AC Milan kwa penalti mwaka 2005.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YAPANGWA KUNDI LA KIFO LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top