![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akipasua katikati ya mabeki wa SC Villa |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi akimtoka Henry Katongole wa SC Villa |
![]() |
| Winga wa Simba SC, Simon Sserunkuma akimtoka beki wa SC Villa, Misi Katende |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akimiliki mpira mbele ya beki wa SC Villa, Misi Katende |
![]() |
| Kipa wa SC Villa, Stephen Odongo akienda hewani kudaka mpira wa juu |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimtoka akimtoka Taddeo Lwanga wa SC Villa |
![]() |
| Kikosi kilichoanza Simba SC jana |
![]() |
| Mo Dewji akisalimiana na Nahodha wa Simba SC, Mussa Mgosi |












.png)
0 comments:
Post a Comment