• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 19, 2015

  RATIBA KAMILI LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2017-2018

  RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka na itatanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii, baina ya mabingwa watetezi, Yanga SC dhidi ya washindi wa Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF), michuano ijulikanayo kama Azam Sports Federation Cup Agosti 23, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Pazia la Ligi Kuu inayorushwa moja kwa moja na Televisheni
  ya Azam, litafunguliwa rasmi Agosti 27, mwaka huu
  kwa timu zote 16 kuingia viwanjani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RATIBA KAMILI LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2017-2018 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top