• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 31, 2015

  SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akipambana na beki wa Mafunzo katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 3-1.
  Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimtoka kiungo wa Mafunzo, Abdulaziz Makame
  Kiungo wa Simba SC, Peter Mwakyanzi akimtoka beki wa Mafunzo, Haji Ramadhani
  Nahodha wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi akipasua katikati ya wachezaji wa Mafunzo
  Beki wa Mafunzo, Kheri Salum akilala chini kujaribu bila mafanikio kuondosha mpira miuuni mwa beki wa Simba SC, Hassan Kessy 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top