• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 28, 2015

  BOCCO AWATUMIA SALAMU NIGERIA, AWATUNGUA WALIBYA STARS IKILALA 2-1 KARTEPE

  Tanzania, Taifa Stars imefungwa mabao 2-1 leo na Libya katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye viwanja vya hoteli ya The Green Park mjini Kartepe, Uturuki. Bao la Stars inayofundishwa na Charles Boniface Mkwasa lilifungwa mshambuliaji John Bocco 'Adebayor'. Stars imeweka kambi Uturuki kujiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria Septemba 5, mwaka huu mjini Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BOCCO AWATUMIA SALAMU NIGERIA, AWATUNGUA WALIBYA STARS IKILALA 2-1 KARTEPE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top