• HABARI MPYA

    Thursday, August 20, 2015

    YANGA SC WAJIFUA KAUNDA MAANDALIZI YA MECHI YA NGAO DHIDI YA AZAM FC

    Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini Uwanja wa Kaunda, Jangwani, Dar es Salaam jana kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii Jumamosi Uwanja wa dhidi ya Azam FC.
    Wahezaji wa Yanga SC wakijifua Kaunda jana
    Winga Godfrey Mwashiuya kulia na Deus Kaseke kushoto
    Kiungo Haruna Niyonzma kulia na Deus Kaseke

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WAJIFUA KAUNDA MAANDALIZI YA MECHI YA NGAO DHIDI YA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top