• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 23, 2015

  'AZAM DAMU' UTAWAJUA TIMU YAO INAPOFUNGWA

  Shabiki wa Azam FC akiwa mnyonge jana baada ya timu yake kufungwa kwa penalti 8-7 na Yanga SC kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'AZAM DAMU' UTAWAJUA TIMU YAO INAPOFUNGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top