• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 22, 2015

  MSUVA ANAANZA LEO YANGA NA AZAM, KASEKE BENCHI...STEWART ABADILI KIKOSI

  BEKI Mtogo wa Yanga SC, Vincent Bossou ameanzishiwa benchi katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC unaoanza Saa 10:00 jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati beki Juma Abdul na swahiba wake kiungo Salum Telela hawamo kabisa katika kikosi cha Mholanzi Hans van der Pluijm.
  Kocha Muingereza wa Azam FC amemuanzishia benchi kiungo Mnyarwanda, Jean Mugiraneza, huku 'madogo' waliopandishwa kutoka akademi, Mudathir Yahya na Farid Mussa wakianza.
  Simon Msuva anaanza leo Yanga SC katika mechi ya Ngao dhidi ya Azam FC  

  VIKOSI VYA LEO VINATARAJIWA KUWA: 

  Azam FC: Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Agrey Morris, Paschal Wawa, Mudathir Yahya, Himid Mao, Frank Domayo, Farid Mussa, John Bocco na Kipre Tchetche.
  BENCHI; Mwadini Ali, Said Mourad, Fardiel Michael,Jean Mugiraneza, Ramadhani Singano, Didier Kabumbangu, Said Mourad na Ame Ally.
  Yanga SC: Ally Mustafa ‘Barthez’, Mbuyu Twite, Mwinyi Mngwali, Kevin Yondani, Nadir Haroub, Said Juma, Simon Msuva, Thabani Kamusoko, Donald Ngoma, Amisi Tambwe na Godfrey Mwashiuya.
  BENCHI; Mudathir Khamis, Andrey Coutinho, Haruna Niyonzima, Pato Ngonyani, Vincent Bossou, Malimi Busungu na Deus Kaseke. 
  John Bocco (kulia) na Aggrey Morris wote wanaana leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSUVA ANAANZA LEO YANGA NA AZAM, KASEKE BENCHI...STEWART ABADILI KIKOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top