• HABARI MPYA

    Thursday, August 20, 2015

    CHELSEA YAIPIGA BAO LA 'KISIGINO' MAN UNITED, YAMSAINI MIAKA MINNE PEDRO

    KLABU ya Chelsea imeipiga bao la 'kisigino' Manchester United baada ya kuwapiku katika saini ya nyota wa Barcelona, Pedro.
    Chelsea imethibitisha kukamilisha wa Pauni Milioni 21.1 wa Pedro kutoka Barcelona, ambaye amesaini Mkataba wa miaka minne.
    Pedro, mwenye umri wa miaka 28, amefurahia kutua Stamford Bridge baada ya mwaka mmoja wa kuwa mchezaji aisye na umuhimu kwa vigogo wa Katalunya na amesema anataka kushinda mataji Chelsea. 
    Pedro akiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona, Cesc Fabregas katika viwanja vya mazoezi vya Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAIPIGA BAO LA 'KISIGINO' MAN UNITED, YAMSAINI MIAKA MINNE PEDRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top