• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 26, 2015

  TAMASHA LA BAGAMOYO 2015 NI UCHAGUZI HURU NA WA AMANI

  Tamasha la 34 la kimataifa la sanaa na utamaduni Bagamoyo, linatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 21 hadi 27 mwaka huu na kaulimbiu ni; "Sanaa na Utamaduni katika Uchaguzi huru na Amani". Vikundi na wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki tamasha hilo la kila mwaka Bagamoyo mkoani Pwani. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAMASHA LA BAGAMOYO 2015 NI UCHAGUZI HURU NA WA AMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top