• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 28, 2015

  LIVERPOOL YAPANGWA NA BORDEAUX, RUBIN KAZAN NA SION EUROPA LEAGUE

  TIMU ya Liverpool imepangwa Kundi B katika Europa League pamoja na Rubin Kazan ya Urusi, Bordeaux ya Ufaransa na Sion Uswisi, wakati Tottenham Hotspur imepangwa katika kundi gumu ikiwemo kusafiri safari ndefu hadi Azerbaijan.
  Spurs imepangwa na Kundi J na Monaco, Anderlecht na FK Qarabag, ambao wanachezea mechi zao mji mkuu wa Azerbaijan, Baku - mwendo wa saa tano na nusu kwa ndege kutoka London. 
  Tottenham itasafiri angani saa 12 kwenda Azerbaijan kumenyana na Qarabag katika mechi ya Kundi J ya Europa League PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  MAKUNDI YOTE MICHUANO YA EUROPA LEAGUE

  Kundi A; Ajax, Celtic, Fenerbahce, Molde
  Kundi B; Rubin Kazan, Liverpool, Bordeaux, Sion
  Kundi C; Borussia Dortmund, POAK, Krasnodar, Gabala
  Kundi D; Napoli, Bruges, Legia Warsaw, Midtjylland 
  Kundi E; Villarreal, Viktoria Plzen, R. Vienna, D. Minsk
  Kundi F; Marseille, Braga, Slovan Liberec, Groningen

  Kundi G; Dnipro, Lazio, St Etienne, Rosenborg
  Kundi H; S.Lisbon, Besiktas, Lokomotiv, Skenderbeu
  Kundi I; Basle, Fiorentina, Lech Poznan, Belenenses
  Kundi J; Tottenham, Anderlecht, Monaco, Qarabag
  Kundi K; Schalke, APOEL, Sparta Prague, Tripolis
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAPANGWA NA BORDEAUX, RUBIN KAZAN NA SION EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top