• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 25, 2015

  SIMBA SC NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Beki wa Mwadui FC, Juma Mnyassa (kulia) akimzaba kibao beki wa Simba SC, Hassan Kessy katika mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana (0-0) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
  Juma Mnyassa akimdhibiti Nahodha wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi (kushoto)
  Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimuacha chini Nahodha wa Mwadui FC, Jabir Aziz Stima
  Winga wa Simba SC, Mganda Simon Sserunkuma (kushoto) akiwania mpira dhidi ya beki wa Mwadui FC, Iddi Mobby (kulia)
  Kiungo wa Simba SC, Mzimbabwe Justuce Kajabvi akipambana na kiungo wa Mwadui FC, Emmanuel Simwanza (kulia)
  Beki wa Simba SC, Mganda Juuko Murushid akijaribu kuupitia mpira dhidi ya wachezaji wa Mwadui FC
  Kiungo wa Simba SC, Petr Mwalyanzi akimtoka beki wa Mwadui FC, Malika Ndeule
  Beki wa Simba SC, Samih Haji Nuhu akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Mwadui FC, Bakari Kigodeko
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top