• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 24, 2015

  REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE UGENINI MECHI YA KWANZA LA LIGA

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akipambana katikati ya wachezaji wa Sporting Gijon usiku wa jana Uwanja wa El Molinon katika mchezo wa kwanza wa La Liga ya Hispania. Timu hizo zilitoka 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE UGENINI MECHI YA KWANZA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top