• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 22, 2015

  KAPOMBE ALIVYOINUSURU AZAM 'KUFA' MAPEMA LEO MBELE YA YANGA TAIFA

  Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akibinuka tik tak kuokoa mpira uliokuwa unaelekea nyavuni baada ya beki wa Yanga SC, Kevin Yondan kumchambua kipa Aishi Manula na kuupiga kuelekea langoni katika mchezo wa Ngao ya Jamii baina ya timu hizo jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda kwa penalti 8-7 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
  Kevin Yondan alifanikiwa kumchambua Aishi dakika ya 37 na mpira ukaanza safari ya nyavuni. Lilikuwa bao la wazi zaidi kuokolewa katika mchezo wa leo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAPOMBE ALIVYOINUSURU AZAM 'KUFA' MAPEMA LEO MBELE YA YANGA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top