• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 27, 2015

  MAN UNITED YAPANGWA KUNDI 'JEUPE' LIGI YA MABINGWA, ARSENAL, MAN CITY, CHELSEA KIDOGO KAZI WANAYO

  TIMU ya Manchester United itamenyana na PSV Eindhoven, CSKA Moscow na Wolfsburg katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya droo iliyopangwa leo mjini Monaco, Ufaransa.
  Vijana wa Louis van Gaal waliyoitoa Club Bruges kwa jumla ya mabao 7-1 katika mchujo, wamepewa safari za Uholanzi, Urusi na Ujerumani.
  Mabingwa wa Ligi Kuu ya England, Chelsea, wao wamepangwa na FC Porto, Dynamo Kiev na Maccabi Tel-Aviv, wakati Arsenal imepangwa na Bayern Munich, Olympiacos na Dinamo Zagreb, huku Manchester City wakiwekwa kundi moja na Juventus, Sevilla na Borussia Monchengladbach.  

  MAKUNDI YOTE LIGI YA MABINGWA ULAYA


  Wayne Rooney scored a hat-trick as Manchester United beat Club Bruges in their Champions League play-off
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPANGWA KUNDI 'JEUPE' LIGI YA MABINGWA, ARSENAL, MAN CITY, CHELSEA KIDOGO KAZI WANAYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top