// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC YASAJILI BEKI WA KUSHOTO MSENEGAL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC YASAJILI BEKI WA KUSHOTO MSENEGAL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, July 04, 2023

    AZAM FC YASAJILI BEKI WA KUSHOTO MSENEGAL


    KLABU ya Azam FC imemtambulisha beki wa kushoto wa kimataifa wa Senegal, Cheikh Tidiane Sidibe kutoka Teungueth ya kwao.
    “Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeinasa saini ya beki wa kushoto wa kimataifa wa Senegal, Cheikh Tidiane Sidibe, akisaini mkataba wa miaka miwili akitokea Teungueth,” imesema taarifa ya Azam.
    Cheikh Tidiane Sidibe (24) ambaye ni hodari kwa kusaidia mashambulizi na kupiga mipira ya adhabu ndogo anakuwa mchezaji wa nne mpya Azam FC baada ya viungo mzawa, Feisal Salum, Mgambia Djibril Sillah na mshambuliaji Alassane Diao kutoka Senegal pia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YASAJILI BEKI WA KUSHOTO MSENEGAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top