• HABARI MPYA

  Thursday, July 27, 2023

  JUMA LUIZIO AREJEA KLABU YA MTIBWA SUGAR


  KLABU ya Mtibwa Sugar imemrejesha mshambuliaji wake Juma Luizio Ndanda huyo akiwa mchezaji mpya wa tatu kuelekea msimu ujao baada ya Mohamed Kassim na Kelvin Nashon Naftari.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUMA LUIZIO AREJEA KLABU YA MTIBWA SUGAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top