• HABARI MPYA

  Friday, July 28, 2023

  EDWARD CHARLES MANYAMA BAADA YA MATIBABU TUNISIA


  BEKI wa kushoto wa Azam FC, Edward Charles Manyama akiwa amefungwa kinga mkononi baada ya kuumia juzi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Club Tunisien nchini iTunisia ambako klabu yake imeweka kambi ya kujiandaa na msimu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EDWARD CHARLES MANYAMA BAADA YA MATIBABU TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top