• HABARI MPYA

  Monday, July 24, 2023

  CEDRIC KAZE NDIYE KOCHA MPYA MKUU NAMUNGO FC


  KLABU ya Namungo FC imemtambulisha Mrundi, Cedric Kaze kuwa kocha wake Mkuu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
  Kaze anajiunga na Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi baada ya kufanya kasi Yanga kwa awamu mbili, kwanza kama Kocha Mkuu na baadaye Kocha Msaidizi hadi msimu uliopita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CEDRIC KAZE NDIYE KOCHA MPYA MKUU NAMUNGO FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top