WACHEZAJI SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPIMWA AFYA TAYARI KWENDA KAMBINI
WACHEZAJI wa Singida Fountain Gate wamepimwa afya leo tayari kwenda kambini Arusha kuanza maandalizi ya msimu mpya. Pamoja ma michuano ya nyumbani Ngao ya Jamii, Ligi Kuu ya NBC na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Singida pia watacheza Kombe la Shirikisho Afrika.
0 comments:
Post a Comment