• HABARI MPYA

  Friday, July 21, 2023

  AZAM FC KUCHEZA NA US MONASTIR KESHO TUNISIA


  KLABU ya Azam FC kesho itamenyana na wenyeji, US Monastir katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Uwanja wa Mustapha Ben Jannet mjini n Monastir nchini Tunisia kuanzia Saa 3:00 usiku kwa saa za nyumbani, Tanzania.
  Huo utakuwa mchezo wa tatu wa kirafiki kwa Azam FC kwenye kambi yao ya kujiandaa na msimu mjini Sousse nchini Tunisia baada ya awali kushinda 3-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan Julai 14 na kufungwa 3-0 na wenyeji, Esperance Julai 19.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC KUCHEZA NA US MONASTIR KESHO TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top